• HABARI MPYA

  Tuesday, May 16, 2023

  TAMASHA LA SAMA KIBA KUFANYIKA AZAM COMPLEX JUNI 17  TAMASHA la Sama Kiba linatarajiwa kufanyika Uwanja wa Azam Complex Chamazi, Jijini Dar es Salaam Jumamosi  ya Juni 17, 2023.
  Sama Kiba ni tamasha linaloandaliwa kwa pamoja na Mwanasoka Mbwana Samatta anayecheza KRC Genk ya Ubelgiji na mwamuziki nyota nchini, Ally Kiba.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAMASHA LA SAMA KIBA KUFANYIKA AZAM COMPLEX JUNI 17 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top