• HABARI MPYA

  Monday, May 29, 2023

  BRENTFORD YAWAKALISHA MABINGWA MAN CITY 1-0


  MABINGWA, Manchester City wamemaliza msimu wa Ligi Kuu ya England kwa kichapo cha 1-0 kutoka kwa Brentford leo Uwanja wa Gtech Community mjini Brentford, Middlesex.
  Bao pekee la Brentford limefungwa na Ethan Pinnock dakika ya 85 na kwa ushindi huo wanamaliza na pointi 59 nafasi y tisa, huku Manchester City wakiishia kwenye pointi 84 na ubingwa wao, nne zaidi ya Arsenal iliyomaliza ya pili.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BRENTFORD YAWAKALISHA MABINGWA MAN CITY 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top