• HABARI MPYA

  Sunday, April 09, 2023

  SIMBA SC ILIVYOJIFUA LEO KABLA YA KUIVAA TENA IHEFU KESHO


  BEKI Mkenya, Joash Onyango (kushoto) akimdhibiti mshambuliaji na Nahodha, John Bocco (kulia) kwenye mazoezi ya Simba SC leo Mbeya kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya wenyeji, Ihefu SC Uwanja wa Highland Estate, Ubaruku, Mbarali mkoani humo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC ILIVYOJIFUA LEO KABLA YA KUIVAA TENA IHEFU KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top