// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BALOZI KINGU AKUTANA NA TWIGA STARS ALGERIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BALOZI KINGU AKUTANA NA TWIGA STARS ALGERIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, April 09, 2023

    BALOZI KINGU AKUTANA NA TWIGA STARS ALGERIA


    BALOZI wa Tanzania nchini Algeria, Meja Jenerali mstaafu Jacob Kingu akiwa na wachezaji wa Timu ya Twiga Stars alipowatembelea leo na kuzungumza nao kabla ya mchezo wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Algeria.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BALOZI KINGU AKUTANA NA TWIGA STARS ALGERIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top