• HABARI MPYA

  Sunday, September 04, 2022

  MWAKINYO ACHAPWA KWA TKO RAUNDI YA NNE LIVERPOOL


  BONDIA Mtanzania Hassan Mwakinyo jana ameshindwa kufurukuta mbele ya Muingereza, Liam Smith baada ya kupigwa kwa Technical Knockout (TKO) raundi ya nne ukumbi wa M&S Bank Arena Jijini Liverpool, England.
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MWAKINYO ACHAPWA KWA TKO RAUNDI YA NNE LIVERPOOL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top