• HABARI MPYA

  Tuesday, January 04, 2022

  SHIBOUB, MUIVORY COAST KUCHEZEA SIMBA MAPINDUZI CUP


  MSHAMBULIAJI Msudan, akiwa mazoezini na klabu ya Simba ambako amerejea kwa majaribio ambayo kama atamvutia kocha Mspaniola, Pablo Franco Martin atasajiliwa tena.


  Pamoja na Shiboub, kuna mchezaji mwingine kutoka Ivory Coast, 
  Cheick Ahmed Tenena Moukoro naye pia anafanya majaribio. Simba inajiandaa na mechi yake ya kwanza ya Kundi C Kombe la Mapinduzi dhidi ya Selem View Jumatano.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SHIBOUB, MUIVORY COAST KUCHEZEA SIMBA MAPINDUZI CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top