• HABARI MPYA

  Saturday, January 15, 2022

  BODI YAUFUNGIA TENA UWANJA WA MABATINI


  BODI ya Ligi Kuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) imeufungia tena Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani baada ya kubaini bado haukidhi vigezo vya mechi za ligi hiyo.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BODI YAUFUNGIA TENA UWANJA WA MABATINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top