• HABARI MPYA

  Tuesday, January 18, 2022

  AZAM FC YAICHAPA MBEYA KWANZA 1-0 SOKOINE


  BAO pekee la mshambuliaji Mzambia, Rodger Kola dakika ya 45 na ushei, limetosha kuipa Azam FC dhidi ya wenyeji, Mbeya Kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
  Kwa ushindi huo, Azam FC iliyo chini ya kocha Mmarekani mzaliwa Somalia, Abdi Hamid Moalin inafikisha pointi 18 katika mchezo wa 12 na kusogea nafasi ya tano, wakati Mbeya Kwanza inabaki na pointi zake 11 za mechi 12 katika nafasi ya 11.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAICHAPA MBEYA KWANZA 1-0 SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top