• HABARI MPYA

  Tuesday, January 18, 2022

  MTIBWA SUGAR YASAJILI MSHAMBULIAJI MPYA MGANDA


  MABINGWA wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Mtibwa Sugar wameendelea kuimarisha kikosi chao kwa kumsajili mshambuliaji, Brian Mayanja kutoka Polisi ya kwao, Uganda.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MTIBWA SUGAR YASAJILI MSHAMBULIAJI MPYA MGANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top