• HABARI MPYA

  Monday, January 24, 2022

  TUNISIA YAITUPA NJE NIGERIA AFCON


  BAO la Nahodha, Youssef Msakni dakika ya 47 limeipa Tunisia ushindi wa 1-0 dhidi ya Nigeria katika mchezo wa Hatua ya 16 Bora Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika usiku wa Jumapili Uwanja wa Roumdé Adjia Jijini Garoua, Cameroon.
  Mechi nyingine ya 16 Bora usiku huo, Burkina Faso ilitoa Gabon kwa penalti 7-6 kufuatia sare ya 1-1 Uwanja wa Limbe.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TUNISIA YAITUPA NJE NIGERIA AFCON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top