• HABARI MPYA

  Thursday, January 20, 2022

  SIMBA NA DAR CITY JANUARI 28, YANGA NA MBAO TAREHE 29


  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limetaja tarehe za michezo wa Hatua ya 32 Bora ya Kombe la shirikisho hilo, maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC).
  Katika ratiba hiyo, Azam FC watakuwa wenyeji wa Transt Camp Januari 28 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, wakati Yanga watamenyana na Mbao FC Januari 29 na mabingwa watetezi, Simba watacheza na Dar City Januari 30, mechi zote hizo mbili zikipigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA NA DAR CITY JANUARI 28, YANGA NA MBAO TAREHE 29 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top