• HABARI MPYA

  Thursday, January 27, 2022

  YANGA WAKIIFANYIA MAZOEZI MBAO FC LEO KIRUMBA


  KIUNGO mpya Mkongo wa Yanga, Chico Ushindi akifanya mazeozi leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza kujiandaa na mchezo wa Hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya wenyeji, Mbao FC.


  Kiungo mpya, Salum Abubakar ‘Sure Boy’ akifanya mazeozi leo kujiandaa na mchezo dhidi ya Mbao FC Jumamosi Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

  Wachezaji wa Yanga wakifanya mazeozi leo kujiandaa na mchezo dhidi ya Mbao FC Jumamosi Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA WAKIIFANYIA MAZOEZI MBAO FC LEO KIRUMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top