• HABARI MPYA

  Saturday, January 15, 2022

  CHAMA AONGOZA MSAFARA WA SIMBA KUIFUATA MBEYA CITY


  KIUNGO Mzambia, Clatous Chama akiongoza msafara wa Simba SC kwa safari ya Mbeya kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji,  Mbeya City Jumatatu Uwanja wa Sokoine.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHAMA AONGOZA MSAFARA WA SIMBA KUIFUATA MBEYA CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top