• HABARI MPYA

    Friday, January 14, 2022

    YANGA SC YASAJILI BEKI MAHIRI MZANZIBARI


    KLABU ya Yanga imemtambulisha beki Ibrahim Abdallah Hamad ‘Bacca’ kutoka KMKM ya Zanzibar kuwa mchezaji wake mpya wa tano dirisha hili dogo, wote wazawa.
    Bacca aliibukia Official page of Ibrahim Abdalla Hamad timu ya watoto ya Mapembeani, kabla ya kwenda Real Kids, baadaye Taifa Jang’ombe, Malindi na KMKM ambako baada ya kung’ara kwenye Kombe la Mapinduzi anatua Jangwani.
    Wachezaji wengine waliosajiliwa Yanga dirisha hili dogo ni kipa Abdallah Mshery kutoka Mtibwa Sugar, kiungo Salum Abubakar ‘ Sure Boy’ kutoka Azam FC, winga Dennis Nkane kutoka Biashara United na mshambuliaji Crispín Ngushi kutoka Mbeya Kwanza.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC YASAJILI BEKI MAHIRI MZANZIBARI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top