• HABARI MPYA

  Monday, January 10, 2022

  YANGA SC YAVULIWA UBINGWA KOMBE LA MAPINDUZI

  MABINGWA watetezi, Yanga SC wametupwa nje ya michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kufungwa na Azam FC kwa penalti 9-8 kufuatia sare ya bila kufungana ndani ya dakika 90.
  Beki Yassin Mustapha ndiye aliyewavua taji Yanga baada ya kupeleka juu ya lango mwaju wake wa penalti kabla ya Mudathir Yahya kuifungia Azam FC penalti iliyowapeleka fainali.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YAVULIWA UBINGWA KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top