• HABARI MPYA

  Friday, January 28, 2022

  SHABANI NA MAREFA YANGA NA POLISI WAFUNGIWA


  BEKI Mkongo wa Yanga SC, Djuma Shabani amefungiwa mechi tatu za kutozwa faini ya Sh. Milioni 1 kwa kumpiga kiwiko mchezaji wa Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu baina ya timu hizo.
  Taarifa ya Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) imesema kwamba pamoja naye, refa Hance Mabena na wasaidizi wake, Paschal Joseph na Jackson Samuel wote wameondolewa kwenye orodha ya waamuzi kadhaa wa Ligi Kuu kwa mechi tatu hadi tano kwa kutochukua hatua dhidi ya tukio hilo.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SHABANI NA MAREFA YANGA NA POLISI WAFUNGIWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top