WENYEJI, Arsenal wamelazimishwa sare ya 0-0 na Burnley katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates Jijini London. Arsenal inafikisha pointi 36 katika mchezo wa 21, ingawa inabaki nafasi ya sita, wakati Burnley inatimiza pointi 12 katika mchezo wa 18 na inaendelea kushika mkia.
0 comments:
Post a Comment