• HABARI MPYA

  Monday, January 10, 2022

  NYOTA WATATU TWIGA STARS WAKUTANA LIGI YA MOROCCO


  NYOTA watatu wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Diana Lucas Msewa na Enekia Kasonga ‘Lunyamila’ na Mwanahamisi Omary ‘Gaucho’ wakiwa pamoja kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Morocco baina ya timu zao.
  Diana na Enekia wanacheza klabu ya AUSF Assa ZAG ya Morocco na Mwanahamisi anachezea Shabab Atlas.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NYOTA WATATU TWIGA STARS WAKUTANA LIGI YA MOROCCO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top