• HABARI MPYA

  Tuesday, January 11, 2022

  MAN UNITED YASONGA MBELE KOMBE LA FA


  WENYEJI, Manchester United wamefanikiwa kwenda Raundi ya Nne Kombe la FA England baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Aston Villa bao la kiungo Scott McTominay dakika ya nane akimalizia pasi ya Mbrazil, Frederico Rodrigues de Paula Santos 'Fred' usiku wa jana Uwanja wa Venue Old Trafford Jijini Manchester.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YASONGA MBELE KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top