• HABARI MPYA

  Sunday, January 23, 2022

  TANZANITE YAICHAPA ETHIOPIA 1-0 ZANZIBAR


  BAO pekee la Christian Bahera dakika ya limeipa Tanzania ushindi wa 1-0 dhidi ya Ethiopia katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Tatu Kufuz Kombe la Dunia kwa Wasichana chini ya umri wa miaka 20 Costa Rica baadaye mwaka huu.
  Katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar, Tanzanite ingeweza kupata mabao zaidi kama igetumia vyema nafasi ilizopata.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANITE YAICHAPA ETHIOPIA 1-0 ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top