• HABARI MPYA

  Tuesday, January 25, 2022

  MECHI YA YANGA NA MBAO ASFC SASA MWANZA


  MCHEZO wa Hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), baina ya Yanga SC na Mbao FC uliopangwa kufanyika Dar es Salaam Jumamosi sasa utafanyika Mwanza siku hiyo hiyo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MECHI YA YANGA NA MBAO ASFC SASA MWANZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top