• HABARI MPYA

  Sunday, January 09, 2022

  MECHI NNE ZA LIGI KUU KESHO ZAAHIRISHWA KWA SABABU...

  MECHI nne za Ligi Kuu ya Tanzania Bara zilizokuwa zichezwe kesho zimeahirishwa kwa sababu timu nne zipo kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar.


  Azam FC na Namungo FC pamoja na Simba na Yanga zote zipo kwenye Kombe la Mapinduzi na kesho zitakuwa na mechi za Nusu Fainali baina yao.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MECHI NNE ZA LIGI KUU KESHO ZAAHIRISHWA KWA SABABU... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top