• HABARI MPYA

  Friday, January 28, 2022

  MAREFA WA KIKE WA TANZANIA KUCHEZESHA KOMBE LA DUNIA


  SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limewateua marefa wa kike wa Tanzania, Florentina Zabron, Janeth Balama, Helen Mduma na Tatu Malogo kuchezesha mechi ya kufuzu Kombe la Dunia kwa Wasichana U17 baina ya Djibouti na Burundi kati yaMachi 4 na 6 Jijini Bujumbura.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAREFA WA KIKE WA TANZANIA KUCHEZESHA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top