• HABARI MPYA

  Thursday, January 20, 2022

  CHIPUKIZI MTANZANIA AKUTANA NA JOSHUA ENGLAND


  CHIPUKIZI Mtanzania, Omar Abbas ambaye amejiunga na akademi ya Program Garuda Select kilichopo nchini Uingereza akitokea Cambiasso Sports Academy – amebahatika kukutana na aliyekuwa bingwa wa dunia wa ngumi za kulipwa uzito wa juu aliyekuwa anashikilia mataji ya WBA, IBF, WBO na IBO, Anthony Joshua nchini humo. Wawili hao walikutana Gym.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHIPUKIZI MTANZANIA AKUTANA NA JOSHUA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top