• HABARI MPYA

  Tuesday, January 25, 2022

  RASMI MSOMALI KOCHA MKUU AZAM MIAKA MITATU


  KLABU ya Azam FC imembadilishia rasmi majukumu Abdi Hamid Moallin, Mmarekani mwenye asili ya Somalia kutoka Mkurugenzi wa Ufundi wa Maendeleo ya Soka la Vijana hadi Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza.
  Moallin amekuwa kaimu kocha wa kikosi cha kwanza kwa takriban mwezi sasa tangu kuondolewa kwa kocha Mzambia, George Lwandamina na baada ya kazi yake nzuri amepewa mkataba rasmi wa miaka mitatu kwa majukumu mapya.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RASMI MSOMALI KOCHA MKUU AZAM MIAKA MITATU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top