• HABARI MPYA

  Monday, January 24, 2022

  KIKAO CHA KAMATI YA UTENDAJI TFF HOTEL VERDE


  RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace John Karia akiongoza kikao cha Kawaida cha Kamati ya Utendaji jana katika hoteli ya kimataifa, Hotel Verde iliyopo visiwani Zanzibar kuweka mikakati mbalimbali ya maendeleo ya mpira wa miguu nchini.
  Makamu wa kwanza Rais wa TFF, Athumani Nyamlani katika kikao cha Kawaida cha Kamati ya Utendaji jana Hotel Verde, visiwani Zanzibar.


  Mtendaji Mkuu wa TFF, Kidao Wilfried Mzigama katika kikao cha Kawaida cha Kamati ya Utendaji jana Hotel Verde.


  Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF kikao cha Kawaida jana Hotel Verde.


  Mwonekano wa hoteli ya kimataifa, Hotel Verde iliyopo visiwani Zanzibar

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKAO CHA KAMATI YA UTENDAJI TFF HOTEL VERDE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top