• HABARI MPYA

  Saturday, January 22, 2022

  MASHABIKI KUINGIA BURE TANZANITE NA ETHIOPIA ZANZIBAR


  MASHABIKI wataingia bure katika mechi ya kwanza ya Raundi ya Tatu kufuzu Kombe la Dunia Wasichana chini ya umri wa miaka 20 baina ya wenyeji, Tanzania na Ethiopia kesho Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASHABIKI KUINGIA BURE TANZANITE NA ETHIOPIA ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top