• HABARI MPYA

  Friday, January 28, 2022

  KOCHA WA SIMBA AFUNGIWA NA FAINI MILIONI 2


  KOCHA Mspaniola wa Simba SC, Pablo Franco Martin ametozwa faini ya Sh. Milioni 2 jumla kwa makosa mawili yanayofanana na kufungiwa mechi tatu kwa kupiga chupa chini kwenye mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar.
  Taarifa ya Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) imesema kwamba Pablo ametozwa faini ya Sh. Milioni 1 kila mchezo dhidi ya Mtibwa na dhidi ya Kagera Sugar kwa kukataa kufanyiwa mahojiano na Waandishi wa Habari baada ya mechi hizo za ugenini.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA WA SIMBA AFUNGIWA NA FAINI MILIONI 2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top