• HABARI MPYA

  Tuesday, January 25, 2022

  SIMBA SC WATUA BUKOBA KUIVAA KAGERA SUGAR


  KIKOSI cha Simba kimewasili salama Bukoba mkoani kwa ajili ya mchezo wake wa kiporo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar kesho Saa 10:00 jioni Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC WATUA BUKOBA KUIVAA KAGERA SUGAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top