• HABARI MPYA

  Tuesday, January 18, 2022

  YANGA SC WATUA ARUSHA KUIVAA MBUNI FC


  VINARA wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara tayari wapo Jijini Arusha kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya jeshi, Mbuni FC ya Monduli kesho kuanzia Saa 10:00 jioni Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC WATUA ARUSHA KUIVAA MBUNI FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top