• HABARI MPYA

  Monday, January 10, 2022

  PRISONS YAMSAJILI KIPA WA TAIFA JANG’OMBE


  TIMU ya Tanzania Prisons imemsajili kipa Hussein Abel Thomas kutoka Taifa Jang’ombe ya Zanzibar baada ya kuonyesha kiwango kizuri kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi ikiwemo kuwa Mchezaji Bora wa mechi dhidi ya Yanga SC.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PRISONS YAMSAJILI KIPA WA TAIFA JANG’OMBE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top