• HABARI MPYA

  Monday, January 10, 2022

  FURAHIA LADHA YA JUISI YA AZAM AFRICAN FRUTI


   Ofa mpya! 

  Juisi zetu za African Fruti za ujazo wa 200ml sasa zinapatikana katika katoni mpya zinazokuwa na pakiti 36 ndani ya katoni moja. 

  Ukinunua zaidi ya katoni 25 za African Fruti (200ml) tunakupatia katoni 1 BURE na vilevile ukinunua zaidi ya katoni 50 za African Fruti (200ml) tunakupatia katoni 3 BURE.

  Furahia faida zaidi, Jenga mtaji wako.

  Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa simu namba +255 222 856 071/72 au +255 715 224 284, au barua pepe bahati@bakhresa.com.


  New Offer! 

  Our African Fruti juices with 200ml are now available in a new carton size which contains 36 packets in one carton.

  When you buy more than 25 cartons of African Fruti (200ml) we give you 1 FREE carton and also when you buy more than 50 cartons of African Fruti (200ml) we give you 3 FREE cartons.

  Enjoy more profit, Improve your Capital.

  For more information contact us on +255 222 856 071/72 or +255 715 224 284, or email us bahati@bakhresa.com.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FURAHIA LADHA YA JUISI YA AZAM AFRICAN FRUTI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top