• HABARI MPYA

  Thursday, January 13, 2022

  CHELSEA YATINGA FAINALI CARABAO CUP


  TIMU ya Chelsea imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya kuichapa Tottenham Hotspur 1-0 usiku wa Jumatano Uwanja wa Tottenham  Jijini London.
  Bao pekee la Chelsea limefungwa na Antonio Rudiger dakika ya 18 na kwa matokeo hayo, The Blues inakwenda Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-0 kufuatia kushinda 2-0 kwenye mchezo wa kwanza na itakutana na mshindi kati ya Arsenal na Liverpool.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YATINGA FAINALI CARABAO CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top