• HABARI MPYA

  Saturday, January 22, 2022

  MECHI YA POLISI NA YANGA YAPELEKWA ARUSHA


  MECHI ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya wenyeji, Polisi Tanzania na Yanga SC iliyopangwa kuchezwa Uwanja wa Ushirika mjini Moshi kesho imehamishiwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MECHI YA POLISI NA YANGA YAPELEKWA ARUSHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top