MHESA AREJEA MTIBWA SUGAR BAADA YA NUSU MSIMU RUVU
KIUNGO Ismail Aidan Mhesa amerejea klabu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro baada ya nusu msimu ya kuwa na Ruvu Shooting ya Pwani, huo ukiwa mwendelezo wa mkakati wa kocha Salum Mayanga kuijenga upya timu hiyo iliyopoteza makali yake.
0 comments:
Post a Comment