• HABARI MPYA

  Friday, January 28, 2022

  HERSI AONYWA, MASHABIKI WAIPONZA COASTAL


  KIONGOZI wa klabu ya Yanga, Hersi Said amepewa onyo kali kwa kosa la kuingia uwanjani kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Coastal Union Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
  Taarifa ya Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) imesema kwamba nayo Coastal imetozwa faini ya Sh. Milioni 1 baada ya mashabiki wake kumtupia chupa mchezaji wa Yanga wakati akishangilia.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HERSI AONYWA, MASHABIKI WAIPONZA COASTAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top