• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 02, 2022

  DENNIS NKANE ATAMBULISHWA RASMI YANGA SC


  KLABU ya Yanga imemtambulisha kinda Denis Nkane kutoka Biashara United ya Musoma mkoani Mara kuwa mchezaji wake mpya wa tatu – akiwafuatia kipa Abdultwalib Mshery kutoka Mtibwa Sugar na kiungo Salum Abubakari ‘Sure Boy’ kutoka Azam FC.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DENNIS NKANE ATAMBULISHWA RASMI YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top