• HABARI MPYA

  Sunday, January 02, 2022

  NAMUNGO YAANZA VYEMA KOMBE LA MAPINDUZI 2022


  TIMU ya Namungo FC imeanza vyema michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Meli 4 City katika mchezo wa Kundi A jioni ya leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
  Mabao ya Namungo leo yamefungwa na Ali Saleh aliyefunga dakika ya 21 na Mzambia, Obrey Chirwa dakika ya 80 kwa penalti, wakati la Meli 4 City limefungwa na Hussein Mwinyi dakika ya 90 na ushei.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NAMUNGO YAANZA VYEMA KOMBE LA MAPINDUZI 2022 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top