• HABARI MPYA

  Tuesday, October 12, 2021

  AZAM FC NA PYRAMIDS JUMAMOSI CHAMAZI


  KIKOSI cha Azam FC kipo kwenye matayarisho ya mwisho kuelekea mchezo wa kwanza Raundi ya Pili ya mchujo Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Pyramids ya Misri Jumamosi Saa
  9:00 Alasiri Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC NA PYRAMIDS JUMAMOSI CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top