RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC Theobald Sabi wakionyesha nakala za mkataba wa Udhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara wenye thamani ya Sh. bilioni 2.5 uliosainiwa leo Jijini Dar es Salaam.
Benki ya NBC imeingia mkataba wa miaka mitatu na TFF kudhamini Ligi Kuu kuanzia msimu huu
0 comments:
Post a Comment