• HABARI MPYA

  Tuesday, October 12, 2021

  UCHAGUZI BODI YA LIGI KUFANYIKA KIGOMA


  UCHAGUZI wa Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) umepangwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu mkoani Kigoma.
  Fomu kwa nafasi ya Mwenyekiti ambayo kwa sasa inashikiliwa na Stephen Mnguto, Mwenyekiti wa Coastal Union ya Tanga zinatolewa kwa gharama ya Sh. 200,000 na nafasi za Ujumbe ni Sh. 100,000.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UCHAGUZI BODI YA LIGI KUFANYIKA KIGOMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top