• HABARI MPYA

  Saturday, October 30, 2021

  TANZANITE YAANZA VYEMA CECAFA U20


  TANZANIA imeanza vyema michuano ya wasichana chini ya umri wa miaka 20 Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge Women’s 20 baada ya kuichapa Eritrea 1-0 jioni ya leo Uwanja wa FTC Njeru nchini Uganda.   
  Bao pekee la Tanzanite jioni ya leo limefungwa na Clara Luvanga dakika ya 90 na timu hiyo itashuka tena dimbani Jumatatu kumenyana na Burudani kabla ya kuivaa Ethiopia Jumatano, Uganda Jumamosi ijayo na kukamilisha mechi zake kwa kucheza na Djibouti Novemba 9.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANITE YAANZA VYEMA CECAFA U20 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top