• HABARI MPYA

  Friday, October 22, 2021

  BIASHARA UNITED YAKWAMA KWENDA LIBYA


  TIMU ya Biashara United ya Mara imekwama kwenda Libya kwa ajili ya mchezo wa marudiano Raundi ya Pili Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji Al Ahli Tripoli uliopangwa kufanyika kesho Jijiki Benghazi. 
  Biashara United iliyoshinda 2-0 kwenye mechi ya kwanza Jumamosi iliyopita Dar es Salaam imekwama kuondoka hadi leo kutokana na changamoto za usafiri wa anga na sasa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) linawasiliana na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) mechi hiyo isogezwe mbele.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BIASHARA UNITED YAKWAMA KWENDA LIBYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top