MCHEZAJI wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, Amina Bilal amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo wa Nusu Fainali dhidi ya Zambia mashindano ya COSAFA yanayofanyika Port Elizabeth, Afrika Kusini baada ya kuiwezesha timu yake kushinda kwa penalti 3-0 kufuatia sare ya 1-1 leo.
0 comments:
Post a Comment