• HABARI MPYA

  Sunday, October 10, 2021

  RONALDO AFUNGA, URENO YAUA 3-0


  NYOTA wa Manchester United, Cristiano Ronaldo jana aliiongoza Ureno kuwaadhibu wenyeji wa fainali zijazo za Komb ela Dunia, Qatar kwa kuwachapa mabao 3-0 katika mchezo wa kirafiki, yeye akifunga la kwanza dakika ya 37, kabla ya José Fonte kufunga la pili dakika ya 48 na André Silva la tatu dakika ya 90 Uwanja wa Do Algarve Jijini Sao Joao da Venda, Ureno.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA, URENO YAUA 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top