• HABARI MPYA

  Saturday, October 30, 2021

  DODOMA JIJI YAICHAPA MTIBWA 1-0 UHURU


  TIMU ya Mtibwa Sugar imeendelea kufanya vibaya katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya leo pia kuchapwa 1-0 na Dodoma Jiji FC bao pekee la Seif Abdallah Karihe dakika ya 61 Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
  Dodoma Jiji FC inafikisha pointi 10 baada ya mechi tano na kupanda kileleni, ikiizidi pointi moja Yanga ambayo hata hivyo ina mechi mbili mkononi, wakati Mtibwa Sugar wanabaki na pointi mbili katika mechi tano pia.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DODOMA JIJI YAICHAPA MTIBWA 1-0 UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top