• HABARI MPYA

  Sunday, October 31, 2021

  MAN UNITED YAZINDUKA, YASHINDA 3-0


  TIMU ya Manchester United imezinduka na kuichapa Tottenham Hotspur mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa  Tottenham Hotspur Jijini London.
  Mabao ya Manchester United leo yamefungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya 36, Edinson Cavani dakika ya 64 na Marcus Rashford dakika ya 86.
  Kwa ushindi huo, Manchester United imefikisha pointi 17, mbili zaidi ya Tottenham baada ya timu zote kucheza mechi 10.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAZINDUKA, YASHINDA 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top