• HABARI MPYA

  Sunday, October 10, 2021

  ENGLAND YAICHAPA ANDORRA 5-0 KWAO


  TIMU ya taifa ya England jana jana imewachapa wenyeji, Andorra mabao 5-0 katika mchezo wa Kundi I kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Taifa wa Andorra la Vella.
  Mabao ya England jana yalifungwa na Ben Chilwell dakika ya 17, Bukayo Saka dakika ya 40, Tammy Abraham dakika ya 59. James Ward-Prowse dakika ya 79 na Jack Grealish  dakika ya 86, hilo likiwa bao lake la kwanza timu ya taifa na kwa ushindi huo Three Lions wanafikisha pointi 19 na kuendelea kuongoza Kundi hilo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ENGLAND YAICHAPA ANDORRA 5-0 KWAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top