• HABARI MPYA

  Thursday, October 28, 2021

  LIVERPOOL YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA LIGI


  TIMU ya Liverpool imetinga Robo Fainali ya Kombe la Ligi England baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Preston North End usiku huu Uwanja wa Deepdale mjini Preston.
  Mabao ya Liverpool yamefungwa na Takumi Minamino dakika ya 62 akimalizia pasi ya Neco Williams na Divock Origi dakika ya 84.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA LIGI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top