• HABARI MPYA

  Saturday, October 30, 2021

  CRYSTAL PALACE YAICHAPA MAN CITY 2-0 ETIHAD


  MABAO ya Wilfried Zaha ya sita na Conor Gallagher dakika ya 88 yameipa Crystal Palace ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja Etihad.
  Pamoja na ushindi huo, kikosi cha kocha Patrick Vieira kilimaliza pungufu baada ya Aymeric Laporte kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 45 na ushei.
  Kwa kipigo hicho kwenye mechi ya 200 kazini kocha Pep Guardiola sasa anazidiwa pointi tano na vinara Chelsea baada ya wote kucheza mechi 10.
  Crystal Palace yenyewe inafikisha pointi 12 katika mchezo wa 10.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CRYSTAL PALACE YAICHAPA MAN CITY 2-0 ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top